Recent content by CYBERTEQ

  1. CYBERTEQ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hot talk na tumboo live kuhusiana na kwanini wasichana wanang'ang'ania Ndoa

    popocorn za leo ziko chache sana jaman tusameheane, muvi yenyewe ndefu hii!
  2. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    Public figure hao ndugu yangu kutaja majina msala, kama hakujitangaza hadharani inamaana hakutaka kujulikana, ngoja tuwaache Al-Salafiy wetu wapumzike kwa amani, au siyo mkuu?
  3. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    kamusi zimekuwa adimu sana siku hizi, nimetafuta online nimeiona mkuu ni Tufaha! Asante.
  4. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa

    Uko sahihi mkuu, 2AZ ndiyo ziko nafuu zaidi around 2.3L
  5. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Nimepitwa na nini?

    Nashukuru pia kukutana tena na wakurugenzi kama nyie humu ndani!
  6. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    Hivi ni Tufaa au Tufaha?
  7. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    Kuna tetesi kuwa mmoja kati ya hao wawili alikuwa shoga!
  8. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Gari linauzwa

    Inakunywa mkuu, inakunywa lakini si level za V6 na V8
  9. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Nyumba ya Kupanga Tabata Chang`ombe

    Safi mkuu wangu.
  10. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Nimepitwa na nini?

    Tumboo nimekumisije!!...hebu kwanza nitumie hiyo picha yako pm in HD!
  11. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Nimepitwa na nini?

    Hahahahaa, hii kali! aliweka cv kubwa inampwaya?!!
  12. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania Nimepitwa na nini?

    Nilikuwa navuna mahindi shambaniiii!
  13. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    Hapana, sijawahi kuwa na mtu nnayeona kuwa role model kwangu, mimi huwa najiona mimi kivyanguvyangu kitofauti. Nachoongelea ni uhalisia tu, vipi na wewe ni kati ya wale wanaoita asali mavi ya nyuki ili walaji waone kinyaa?!
  14. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    hahahaa, hii sijawahi kuiskia! siyo kwamba mtu akiwa punga yeye ni kupumuliwa tu?
  15. CYBERTEQ

    JamiiForums Tanzania 'Najivunia kuwa Shoga' asema Mkuu wa kampuni ya Apple

    role model mpaka kwenye sex orientation?!! (labda kama unataka kuwa muigizaji wa porn) role model kwenye kazi au shughuli anazofanya, mambo yake ya chumbani ni yake binafsi, awe shoga, punga, bwabwa, msagaji, straight, hasimamishi, hayo ni yake!
Back
Top Bottom