Nina ndugu yangu kamaliza chuo sasa ndo anakaa kwa ndugu yake Morogoro, kwa wanaojua sehemu mtu anaweza jishika akapata kitu chochote.
Kuuza duka, viwandani, wapi kwingine kwa Morogoro. Share maelekezo tusaidiane.
Kupiga ata piga tu, ata akiapa, iko siku itatokea na haitaacha
Vye achague kimoja kati ya kukubal hvo au kuenda kwa mwngne.
Kubadilika au kutokufanya hvo n choice ya mwanaume 100%
ndio utammiss na nn, hamna dawa kubwa ya vitu kama mda. jipe mda fata mambo yako mengine ulionayo, kma n biashara endelea kuishi.
MUDA utakufanya usahau pole pole, iko siku unaeza kumbuka ktu ambacho ulzan sjui kitakutesa lkn hautajiskia vbaya.
amna mbinu ata, fanya kama umekula embe ndio ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.