Recent content by Cxs

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

    Tusidanganyane hapo parapanda inawahisu mchana mweupe
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

    Huyo anayeolewa olewa na kuachika yupo kwenye mtandao jiandae na parapanda
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

    Leo ni habari ya kupigwa kitima habari zingine tutaongelea kesho
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Yusufu na Nicodemus watu waliojitolea kumzika Yesu

    Kwa nini alazimishwe yeye mwafrika ilhali wayahudi walikuwepo, Huo ulikuwa ubaguzi wa rangi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

    Nilivyoona jina la Lucas mwino nikafikiri Lucas mwamshamba, lakini ndugu endelea kupambana mungu anakuona Hadi huruma sio kwa uchawa huo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwanya in english unaitwaje?

    Inaitwa diaestema
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

    Mimi nimekaa mafia mwanzoni wwa 2000 ayubu kimbau alikuwa na nyumba mzuri pwani ya mafia karibu na bandarini
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuanzia yeye mwenyewe mpaka nyongo yake. Wataalamu tunaomba ufafanuzi

    Nyongo kitaalamu ni digestive fluid inayozalishwa na ini na kazi kubwa ya nyongo ni kuyeyusha chakula na kusaidia mwili kufyonza mafuta yaliyoyeyushwa mwilimi yaani rat absorption, Vilevile kazi nyingine ya nyongo ni kutoa uchafu mwilini
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuanzia yeye mwenyewe mpaka nyongo yake. Wataalamu tunaomba ufafanuzi

    Let me clarify the difference btw an alligator and a crocodile as a very, Crocodile and alligators are both large carnivorous reptiles from the order CROCODYLIE but they differ iin several key ways 1 snout Crocodile have v shaped while alligator have u shaped, 2 Habitat crocodile live in salt...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuanzia yeye mwenyewe mpaka nyongo yake. Wataalamu tunaomba ufafanuzi

    Kuna mamba aina mbili, Kuna alligator. hawa ni wadogo na wanakaa kwenye maji baridi kama vile mitoni au mabwawani, Kuna crocodiles hawa ni wakubwa sana na Wana uwezo wa kuuwa wanyama wakubwa hata wa kilo 500, Hawa wanaishi kwenye maji baridi na maji chumvi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuanzia yeye mwenyewe mpaka nyongo yake. Wataalamu tunaomba ufafanuzi

    Miaka ya 90 nilifanikiwa kwenda Zimbabwe kwenye course fupi ya veterinary postmorterm, tulitembelea shamba la kufugia mamba ni kweli Kuna mamba wakubwa na wanawezq kula mawindo ya mnyama mwenye kilo 500 sababu anachofanya yeye ni kumzamisha kwenye maji kwa muda mrefu hivyo anakufa kwa kukosa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

    Sio wakatoliki TU wenye Sheria ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu, hata waanglican nao Wana Sheria hiyo
  13. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Karagwe
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiumbe yoyote duniani aliyewahi kupambana na Serikali na akashinda, kama unabisha mtafuteni Dkt. Kizza Besigye yuko wapi sasa hivi au Bob Wine

    Mbona Nyerere na Mandela walipambana na serikali zao na wakashinda
Back
Top Bottom