Recent content by CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

  1. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa fundi welders

    Je wewe umejifunza welding na unatafuta kazi? Piga simu hii kwa maelezo zaidi 0758 961 961.
  2. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Hard copy hatupokei kwani ni rahisi kupokea. Tafadhali fika katika internet cafe na ujisajili. Kwa kujisajili CV yako itakuwa salama na system itakutambua hivyo ni rahisi kukutrack
  3. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Utaitwa interview iwapo imetokea position ambayo inakufaa na wewe utafit in. Au iwapo ume apply position and you have the qualifications. Haitakuwa vizuri kama tutakuita na kuutumia muda wako kwa interview na position inayokufaa hatunayo. Iwapo itatokea position inayokufaa na uta fit in hakika...
  4. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Habari, Utaitwa interview iwapo imetokea position ambayo inakufaa na wewe utafit in. Au iwapo ume apply position and you have the qualifications. Haitakuwa vizuri kama tutakuita na kuutumia muda wako kwa interview na position inayokufaa hatunayo. Iwapo itatokea position inayokufaa na uta fit in...
  5. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Cvpeople africa tanzania ni wakala na mbali moja wa ajira africa nzima. Ikiwa na umri zaidi ya miaka ishirini. Ni wakati wako sasa kujisajili nasi bure kupitia tovuti yetu .na kuweza kuchagua ajira uipendayo. Cvpeople africa haitozi jobseeker gharama yoyote. Iwapo utapewa taarifa na mtu...
  6. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetafuta ajira jiulize?

    Kama unapata tatizo katika ku upload tafadhali tumia computer.
  7. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetafuta ajira jiulize?

    Karibu. tafadhali ingia katika tovuti yetu kisha jisajili. Kwa ajira na kazi zote tuna post kwenye website
  8. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetafuta ajira jiulize?

    JF hairuhusu hot linking, hivyo waweza kuandika cvpeopleafrica na utapata chaguzi sahihi
  9. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Wewe unayetafuta ajira jiulize?

    Je leo utafanya nini kuhusiana na mchakato wako wa kutafuta ajira.? -Je utakutana na watu wangapi siku ya Leo ambao wanafanya kazi unayotamani kuifanya? -Je unatumia mtandao vipi kwa ajili ya kutafuta ajira kwa siku ya Leo?. KUMBUKA; kwa kila jambo unalolitamani kulifanya,ama aina ya mtu...
  10. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

    Si kujiunga ni kujisajili tuu ili tupate CV yako. Huko kujisajili ni kuandika taarifa zako, jina kamili, elimu, experience yoyote uliyonayo, mshahara unaoutarajia pamoja na kuambatanisha CV yako. Ni rahisi sana unaingia tu kwenye website ya CVPeople Africa, bonyeza TZ flag kisha bofya register...
  11. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

    Midwife position. If you know anyone please refer.
  12. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

    Yes Midwife
  13. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi.: Anatafutwa Mkunga.

    Kuna nafasi ya kazi. Anatafutwa mkunga. Tafadhali tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi. MIDWIFE NURSE Dispensary, Iringa, Tanzania An opening for a Midwife Nurse specialize in childbirth, postpartum, and well-woman health care of all kinds. He / she must be highly trained professionally...
  14. CvPEOPLE AFRICA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotafuta ajira, haya ndio unayopaswa kufanya

    KWA WANAOTAFUTA AJIRA... Acha kuweka comments hii chini ya tangazo "Tafadhali pitia profile yangu" hakuna mwajiri mwenye muda wa kuangalia profile ya kila MTU (mfano linkedIn) kama kweli unauhitaji na kazi watafute waajiri wapigie simu, watumie barua pepe.. HAYA NDIYO UNAYOPASWA KUFANYA...
Back
Top Bottom