Wewe unayetafuta ajira jiulize?

Aug 17, 2016
73
39
Je leo utafanya nini kuhusiana na mchakato wako wa kutafuta ajira.? -Je utakutana na watu wangapi siku ya Leo ambao wanafanya kazi unayotamani kuifanya? -Je unatumia mtandao vipi kwa ajili ya kutafuta ajira kwa siku ya Leo?. KUMBUKA; kwa kila jambo unalolitamani kulifanya,ama aina ya mtu unayetamani kuwa, ama kazi unayotamani kuipata ,,matumizi yako ya kila dakika uliyonayo kwa siku yatachangia kwa kiasi kikubwa kutimiza ndoto zako.


JISAJILI NASI BURE...
-Fungua link iliyopo katika bio yetu. -Bonyeza bendera ya Tanzania. -Kisha Bonyeza "register" -Anza kujaza taarifa zako. -upload CV yako. -Endelea kujaza taarifa zako zote ili kufikisha asilimia 100%. -Umalizapo sasa waweza kubonyeza "Tanzania jobs" kisha chagua ajira uipendayo.

KAZI ZETU ZOTE TUNAZIPOST KWENYE TOVUTI YETU.. HIVYO NI MUHIMU KUJISAJILI ILI KUWEZA KUZIONA KWA URAHISI.


CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. IWAPO UTAPEWA TAARIFA NA MTU YEYOTE AKIDAI ANATOKEA CV PEOPLE AKIWA NA MADAI KUKUHITAJI KUTOA GHARAMA ZOZOTE TOA TAARIFA KUPITIA 0758961961 EPUKA MATAPELI.
 
Back
Top Bottom