Recent content by cutest

  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kumuhudumia mwanamke kabla ya kumuoa?

    kumhudumia ni sahihi kwa pale utakapokua na kitu hata kama ni kidogo.......pia atakapokomba msaada alipokwama ukimsaidia utakua umehudumia
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    unatafuta binti wa kuoa mitandaoni eee....jiangalie dunia imekengeukaaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake tueleweni jamani, sisi tuna prolactin na nyie mna oxytocin

    ko wale wanaokumbatiaa wanakosea au wana ile ya KE.....inakuaje apo sasa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke atakayenijali

    only "words" to believe?? hahaahaaa funny
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Mawazo: Rais Magufuli hata pole ya maneno imemshinda?

    kwa itikad za vyama tz tunaelekea kubaya aisee.....lakn naamin mungu yupo na kwa wanenao mabaya kwa walofikwa na umauti pigo lenu liko njian laja.....jiangalieni sana watz hali itakua mbaya sana pale ambapo ww yatakukuta ila kwa kua yapo kwa mwenzio ni rahis sana......let us wait ze...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Hivi vitu mnavyo kweli au maneno tu?

    vip kuhusu wanaumeeeee????
  7. C

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    afanyeee ivoivo hakuna uchonganishi hapa....kikwete kakufanyia nin ww au ndo maisha bora kwa kila mtanzania.....hahaaahaaa safar hii walizma wanyoookeee....haiwezekan wale wachache.....ukitaka kufa kibudu bas leta utani na magufuli...utaishia kuokota makopo....hahaaahaaa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni vema kumuoa mwanamke asiye na bikra katika misingi ya dini?

    utaoaje mwenye bikra akat ww mwenyew ndo unachakachua?? ckuiz watu hawataki kuuziwa mbuz kwenye gunia ko lazma ataste kama mtamu au laaah...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya chuo: Mabinti ndio hutajirika na vijana kuwa maskini

    hahaaaha uyo ni pepo mchafuuuuu...unaanzaje kuhonga afu unakosa nauki!! mkiwaonyesha mna hela watawanyoosha
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu wa ajabu sana

    sasa utamuacha kisa alitoa mimba ya ex wake?? kwan kipnd icho ulikua na relation nae?? kwa ushaur wang ni kwamba kama unampenda myajenge tu buana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    mikataba ya gesi ni hatareeee....ajipangeee
Back
Top Bottom