Recent content by cutepie

  1. cutepie

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Usithubutu nilishasema ni tapeli,ukitaka kuliwa pesa sawa
  2. cutepie

    JamiiForums Usiku wa manane

    04:06
  3. cutepie

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Asante,nimeweka ili wengine wasitapeliwe
  4. cutepie

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Sijui kama ni wewe ama mwengine lakini huyo jamaa ni tapeli na amenitapeli na inauma kweli kupoteza pesa kizembe,
  5. cutepie

    Unakabilianaje na kipindi hiki cha joto na jua kali?

    Alafu kuna sisi mama vijacho😮‍💨
  6. cutepie

    Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Mimi nilibadili simu maana sikupata utatuzi mwingine
  7. cutepie

    Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Na hata ukirestore itapumzika siku mbili itaanza tena kujituma ujumbe
  8. cutepie

    Simu inatuma huu ujumbe kila wakati Kwa namba nisizozifaham

    Sitasahau nilivyoteseka baada ya kununua simu kkoo ilikua hvyo hvyo tatizo lilianxa taratibu kisha ikawa sms nazotumiwa hazingii,ikaja whatsapp wakaniban kisa spam,nikawa napokea ujumbe kwa email wa kuidhinisha malipo mbalimbali,yani ni mateso mpk nimebadilisha simu
  9. cutepie

    Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Haipungui kidogo,na upo wapi
  10. cutepie

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco huku chalinze tangu jana jioni mpaka sasa hatuna umeme simu zinaishiwa chaji vitu kwenye friji vinaharibika tatizo ni nini
  11. cutepie

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Je kuna utaratibu gani kwa nyumba ya wapangaji,mpangaji ukitaka kuweka mita yako?
  12. cutepie

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wengine biashara zetu zinategemea umeme jamani
  13. cutepie

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Dah baada ya juzi kutulaza bila umeme leo mshapita nao asubuhi asubuhi huku kigamboni
Back
Top Bottom