Recent content by cutelisa

  1. C

    Natafuta siko la mapapai

    Morogoro, bwawani
  2. C

    Natafuta siko la mapapai

    Nimelima mipapai, nauza papai moja sh 500 ukilifata shambani. Nikikuletea sh 700.
  3. C

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Naomba elimu na ushauri kuhusu kilimo cha mapapai Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Jipatie unga wa lishe

    Unga wa LISHE Wenye MCHANGANYIKO wa : MAHINDI SOYA ULEZI KARANGA NGANO MCHELE. Ni kwa ajili ya watu wote, watoto Kuanzia miezi sita. Tupo kinondoni Dar es salaam. 0676868660/0713441511 Karibuni Sana
  5. C

    UNGA WA LISHE

    Unga wa LISHE Wenye MCHANGANYIKO wa : MAHINDI SOYA ULEZI KARANGA NGANO MCHELE. Ni kwa ajili ya watu wote, watoto Kuanzia miezi sita. Tupo kinondoni Dar es salaam. 0676868660/0713441511 Karibuni Sana
  6. C

    Unga wa lishe

    Unga wa lishe wenye mchanganyiko wa: 1.Mahindi 2.Soya 3.Ulezi 4.Karanga 5.Ngano 6 Mchele Ni kwa ajili ya watu wote, watoto Kuanzia miezi sita. Tupo kinondoni Dar es salaam. 0676868660/0713441511 Karibuni Sana
  7. C

    ANATAFUTA KAZI

    Amemaliza form six anatafuta kazi. Kama kunasehemu yoyote Tanzania kuna nafasi ya kazi kwa level ya form six naomba nijulishe ahsante.
  8. C

    Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

    Nikiliwa Ndio vizuri nitatoa ushuhuda Wenye uhakika kabisa kwamba forex wanakula tu hela za watu [emoji16]
  9. C

    Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

    Mimi Ndo Najifunza forex
  10. C

    Job hunting

    Good morning, I'm here on behalf of Kefas, He's 27 years old, studied up to form Six. looking for a job. SKILLS Driving Microsoft Office Speak and write in fluent English EXPERIENCE sales manager at Manows Company August 2016- February 2017 Supervisor at Manows company March 2017-...
  11. C

    ALIEFANYA APLLCATION TIA

    Nasoma hapo tia labda Naweza kukusaidia
  12. C

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Mayor Slum, Kwangu Mimi nakwepa aibu kwa namna hii. Kwa mfano, mwanafunzi wa chuo ataona aibu kuwa day worker ya ukondakta. But najiuliza wale makonda wa daladala kwani hawana familia?. Mbona unakuta mtu sawa umri wa baba yangu na anafamilia na watoto anasomesha na mbona haoni aibu. Sasa...
  13. C

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Mayor Slum, Mimi sio graduate ila kuna baadhi ya vitu Nimejaribu Wakati bado Nipo chuo. Kutokana na ajira kuwa ndogo ni vyema wanafunzi wa chuo wajiandae mapema kabla hawajamaliza na kuanza kuangaika kazi. CAPITAL mtaji kwa Kijana hauanzia na cash ila kama unayo sawa but kama huna capital na...
  14. C

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Kilimo Sikuhizi ni Kama kubet due to the price fluctuation na ukizingatia graduates wana low capital na experienced. Kwa wanaoweza wafanye ila kama hujui chochote kuhusu Kilimo Anza kufanya research kwanza Ndo ukalime na ujipange Laa sivyo hatari
  15. C

    MAWAZO YA BIASHARA

    Nimeuliza kupata kujua ubaya wake, ungenijibu tu vizur ningefurahi maana Kweli sijui Ndo maana Nimeuliza
Back
Top Bottom