Recent content by Cute Msangi

  1. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Ndio ni Bei yake nilinunua Songea 650k 43* Niliweka ukutani nimeikuta Ina kleki Kuna sehemu Kama iligongwa hivi
  2. Cute Msangi

    Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Madhara ya kumuamini mwanamke na kufanya mapenzi bila kinga
  3. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    😂😂😂😂 Chogo now days
  4. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Ilikuwa ukutani Nina muda sikuwepo home Kuna mpangaji mwezangu nilimuachia ufunguo kwa ajili ya kuniangalizia usalama ndani kwangu narudi juzi usiku nawasha tv ili badae niangalie mechi ya Simba nakuta kioo kina kleki Kama zote kuwasha ni marangirangi tu uoni kitu
  5. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Nashukuru mkuu kwa ushauri wako
  6. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Sawaa mkuu nakutumia
  7. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Bei ya tv mpya 650k
  8. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Kioo Bei yake 400k Ufundi 30k Usafirishaji wa kioo kutoka dar ni 20k Kwa nilivyoambiwa na fundi
  9. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Mafundi sio wa kuwaamini ni wapigaji nahitaji kupata sehem wanauza vioo kabisa ili nijilizishe
  10. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Ukweli ndo huo Kuna zingine ni double screen Ila Bei yake imechangamka
  11. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Tv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
  12. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Niko Songea mkuu tv nilinunua kwenye duka la electronic ata nilivyouliza kuhusu kupata kioo kingine wahafahamu
  13. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
Back
Top Bottom