Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie
Nipo na skills...
Naweza fanya software development sana sana maswala ya programming ndio nimejikita sana huko nikipata kazi ya web, software nafanya ila tu changamoto kubwa kwa sasa hizo kazi hata sipati nifikili kutengeneza connection na watu ndo inaongeza network ndomana nika focus kuingia kweny tasisi pengine...
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana.
Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.