Mh. Mwakyembe bado kuna tatizo ktk katika bandari ya dar es salaam, unaagiza mzigo unalipia kila kitu unapotaka kuutoa unazungushwa zungushwa tuu mara utaskia eti wakaguzi hawapo eti uje j3 na hapo mtu umeshakaa karibu week nzima ukihangaikia kutoa mali yako!inaudhi sana kwakweli!
Familia ya NELSON MANDELA HAWAKUMJUA TB JOSHUA??? Au FAMILIA YA MGIMWA HAWAKUJUA KAMA KUNA MTU ANAITWA TB JOSHUA???? Tuondolee usenge wako humu umechelewa wewe, wajanja wanamwomba Mungu mwenyewe.
Ok kama rim size 16 Je, naweza weka mpira wenye specification hii 225/55/r 16????? Nauliza hivyo kwasababu niliona mpira wa size hiyo umefungwa kwenye chaser gx100 na gari imependeza sana, lakini nilivyoenda dukani kununua mipira size kama hiyo ili nifunge kwenye cresta Gx100 nikaambiwa haitofaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.