Recent content by curia

  1. C

    Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

    Pole sana mtoa post! Honda CRV ni level nyingine kabisa. Comfortable, roomy, stable sana. Spare ni cheap na zinapatikana sana kwa sasa. Naimiliki najua, hayo mengine ni Toyo-ta syndrome.
  2. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mshana Jr nashukuru sana. Nimethibitisha haya mambo japo nimeitumia kwa wiki 3 tu sasa. Naifurahia kwa kweli.
  3. C

    MAJIBU: Niagize Nissan Murano, Dualis au Xtrail?

    Acha kuogopesha watu haujui Nissan wewe. Nakushauri chukka Dualis au xtrail Murano achana nayo
  4. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mwenye uzoefu au kuijua Honda CR-V anise useful kuhusu ugumu wake fuel consumption, etc. nataka kuitafuta hii.
  5. C

    Nishaurini kuhusu Nissan Pathfinder

    Gari naipenda sana hii, very very comfortable
  6. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wataalam was tairi nisaidieni je, ni salama kubadilisha size ya tairi kutoka 185/65r15 kwenda 195/65r15?
  7. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mwenyewe kuelewa anisaidie, gari yangu niktembea inawasha taa ya injini halafu inakuwa Kama inapungua nguvu na nikizima na kuwasha inatembea kawaida Hadi muda tena inaweza kurudia hivyo hvyo naomba nipate pa kuanzia nifanye nn!! Msaada.
  8. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Inauzwa laki hadi laki na ishirini inategemea na sehemu. Mi pia Nina Tiida huwa nabadilisha.
  9. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nissan Tiida iko vzuri sana, spare zipo na ndo ninayotumia mimi mwaka wa pili sasa haina shida.
  10. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wadau! Wapi nitapata hydrolic genuine aina ya nisssan cvt fluid ns-2. Msaada tafadhali nipo dar.
Back
Top Bottom