I real wish kungekuwa na mfumo mwingine ukiachana na bunge wa wananchi kutoa maoni yao juu ya uendeshwaji wa nchi... maana huku jf watu wana malalamiko mengi ila hayafiki mahali yanapohitajika... na mara nyingi maoni na malalamiko yakipelekwa bungen huwa hayafanyiwi kazi na serikal
For real hili tatizo la wafanyakaz kurika ni kwa kila shirika na taasisi ya serikal... kuanzia tra, mavyuon, mashulen, nida mpaka ngazi za juu... huduma zao n very lame. Sometimes mtu hata kuuliza maswali tu unaletewa maringo... Mara nyingine mashirika yanatoa huduma kwa jamii lakin hawatoi...
Sorry kwa usumbufu kwenye kufungua account ya wise... kwenye sehemu ya kuweka country unaweka Tz au Us... Na kama utaweza kuelezea procedure zake zote ntashukuru sana
Mi naona kama kungekuwa na uwezekano wa wananchi kupiga kura kwa official petition(ambazo hata government officials wataona maombi yetu) wakidai huduma wanazo hitaji... Ikiwezekana tuwatumie hata wabunge kufikisha hoja zetu kama hii ya Paypall bungen
Unafunguaje acc Uk kama ww n Mtanzania. Ningeomba ufafanue kidogo kama kuna namna ya kufanya hayo maswala online
Also mfano/list ya hizo business documents zinazohitajika na unazipataje
Naona mnaamua kukitetea kiswahili kwa kupitia mgongo wa mafanikio ya kiuchumi ya china bila ya kufahamu imekuwajekuwaje mpaka china wakafika hapo waliopofika
First: Itambulike kuwa kwa asilimia kubwa China imeweza kufanya mapinduzi ya kiuchumi kwa kuiba technologia za watu wa magharibi, swali...
Yaan serikal inapoteza tu resources and still hawatakaa waweze kutafsiri kila maandiko yaliyopo kwenye hii dunia kwenda lugha ya kiswahil....
Mi naona n bora waka-focus kwenye kutengeneza mfumo mpya wa elimu ambao utatoa vijana competent kwa mda mfupi... badala ya kijana kumqliza chuo akiwa na...
Shida ni kwamba kuna watu hawataki kukubaliana na ukweli kwamba wenzetu tayari wameshafanikiwa kwa kiwango kikubwa kuifanya lugha yao visible worldwide compared to lugha yetu
Shida ni kwamba ww hautaki kuona kwamba tayari upo chini na wao wapo juu...
Maana wachina wakija wao wanaleta hela kuwekeza so lazima tupambane tuwaelewe il hizo hela tuzipate tukimkataa anaenda nchi nyingine
PIA kwenye hiyo last COMMENT yangu uliyo-crop nimeuliza kuhusu kwenye ku- interact na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.