Huwa mtu akichaguliwa ktk fani na chuo fulani na tcu,akitaka kuhama vyuo vinakuwa na limitation sana,tofauti na yule ambaye anakua amechaguliwa direct kutokana na application na priority zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora hata huyo mmoja angekuepo mtoa mada kajiskia kukiorodhesha tu maana kwenye list hiyo yenye wanafunzi wasio na vigezo haikuwekwa kabisa na tcu ss huyo mtoa mada sjui amemuona wapi huyo mmoja..... watu mlitarajia st.joseph na kampala wangekuepo wengi sana...
Hii ni admission ya udsm 2015/2016...mtu ana D 3 kwa hao waliomalza 2015 ilkua ni dvs 4 amechaguliwa electronics scnc and communication nae anajiita kipanga.
Siku hizi unaweza kuinstall android OS kwenye PC yako kama OS nyingine kama windows,ubuntu n.k .... au ukaweka windows na android at the sametime....na ukaprocess hzo apps zote za android...bluestack sikushauri PC itakua nzito sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.