nimeishi na mwanamke ambae pia alikuwa introvet kama mimi tulikuwa tukikaa pamoja wala hatuongei hata siku nzima ila itokee shida au kumuulizia jambo zaidi ya hapo tunakaa kimya kunawasiliana kwa vitendo
nikichoka kukaa ndani nikitaka kutoka namuhurumia sana akibaki peke yake kwa sababu muda...
introvert tuwe tunajichanganya kuna wakati ninajihisi mpweke sana
natamani kujichanganya nashindwa ila ikitokea nimefanikiwa kujichanganya kama watu wanaongea mada za kiutani utani naondoka
huwa napenda watu waongelea kitu ninachokipenda mimi tu na huwa sipendi kuchangia napenda niwe...
mimi mtu akinipigie simu huw siongei muda mrefu ,ikitokea ninae onge nae anaongea muda mrefu natamani amalize haraka kuongea huwa nachoka sana kumsikiliza
Hivi mbona wanawake siwaelewi?
Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent.
Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...