Recent content by ctitus

  1. ctitus

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Samahani naomba nisaidieni BUS la kwenda Singida tofauti na ABC
  2. ctitus

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Ndugu zangu sasa tupo kwenye kipindi kigumu sana.
  3. ctitus

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    We are Tanzanian, am not sure if all medias will take as serious issue. We will see.
  4. ctitus

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa tamko baada ya Mbowe kutajwa katika listi ya Makonda

    Kazi kazi tuuuu
  5. ctitus

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Kazi ipo
  6. ctitus

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazelendo yasema uchumi wa nchi chini ya Magufuli umeporomoka kwa kasi ambayo haijawahi kutokea

    Tuendelee kuliombea taifa letu, na kuendelea kutoa ushauri kwa wakuu wetu wa nchi, pia tunawaomba washauri wenye nafasi ya kukutana na Mh. Rais wajitahidi kumpa ushauri tusibaki kushambulia tu bila kumpa njia za kufanya, na mimi najitahidi kutafuta njia ya kuweza kutoa ushauri wangu ofisi ya...
  7. ctitus

    JamiiForums Tanzania Diallo asomeshwa namba: Akaunti za Sahara Media zafungwa na TRA kutokana na kodi ya Tsh. Bilioni 4

    Hapo sina shaka na TRA fanyeni kazi yenu, kwa kuhakikisha kodi kila anayetakiwa kulipa kodi analipa. hakuna kumuangalia mtu usoni.
  8. ctitus

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Hood lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Arusha

    Poleni sana wote waliokutwa na janga hilo....
  9. ctitus

    JamiiForums Tanzania CUF: Rais Magufuli aache kutumia mamlaka yake vibaya aheshimu misingi ya haki, demokrasia

    Poleni wananchi wote
  10. ctitus

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kitendo cha Polisi kutukamata tukiwa kwenye kikao, kimeniimarisha na kunipa nguvu

    Kimsingi siasa Tanzania yetu tunatakiwa kurudi tulikotoka yaani mfumo wa chama kimoja. Sioni sababu ya za msingi za kuzuia mikutano ya kisiasa.
  11. ctitus

    JamiiForums Tanzania Kilichofanywa na Wana Rungwe jana kiigwe Tanzania nzima

    Inafurahisha kweli Mungu ibariki TZ
  12. ctitus

    JamiiForums Tanzania Mchezaji avunjiwa mkataba wake baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya VVU

    Samahani naomba kuuliza, hivi mchezaji akigundulika na maambukizi ya VVU kwenye sheria za CAF na FIFA inakipengele kinachoonyesha kukatisha mkataba ya mhusika au ni jambo la club husika?
  13. ctitus

    JamiiForums Tanzania Mchezaji avunjiwa mkataba wake baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya VVU

    Pole yake kijana mwezangu.
Back
Top Bottom