Recent content by csmgs

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mtanzania adakwa na mihadarati China

    Wajinga wataendelea kudabwa wakati wenye mzigo wameketi maofsini.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tuache Kuwatisha Wazanzibari Kuhusu Udogo wa Taifa Lao na Hatima Ya Muungano

    Kweli wazanzibari wanaweza wakasema wajitegemee na ni haki yao, lakini lazima tujue kuwa waliounda muungano walitumia deep thinking capacity. Ukweli ni kwamba mbali na udogo wake ; Zanzibar bado haiwezi kujitegemea Kwa vitu vingi kama vile:- 1.chakula: maeneo mengi Zanzibar yanamiamba, kitu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Ukweli upo moyoni mwake lakini Maelezo yake yanaashiria asilimia fulani ya ukweli.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Video: Edward Lowassa na hali ya kisiasa nchini

    Hahahahaaaaa! Alikuwa anatekeleza ilani ya ccm kuongeza division O katika taifa!!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Me nafikiri hapa kinachotakiwa ni kufuta vikundi vyote bila kujali green gards,red brigade and whatever. Maana inaonekana vitakuja kuleta maafa makubwa sana Kwa siku za usoni.
Back
Top Bottom