Seems kama huelewi unachotaka kuwaaminisha watu "hebu tuanzie kwanza kwenye hiki kitu ulichokiandika CD4,,,mkuu hebu shuka nondo zisizo na shaka ,,CD4 ni kitu gan ,,kinapatikana wapi ,kazi yake nn,,vitu gan vitatokea ukipungukiwa au kukosa kabisa CD4,,umeshawahi kuona CD4? Tuwekee mchoro wa...