Recent content by Cryspina

  1. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Ntakuwa siwapi michapo na story zangu maana mnajishauwa mpaka basi.
  2. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Aku, nani kasema nipo hivyo?
  3. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Sio mimi bana, ni rafiki yangu au unataka audio usikie tunachoongea?
  4. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Swali gani sasa hili mbona sijaelewa?
  5. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Mmmmmmhmn jamani wapi me nimesema nimeshiriki zaidi ya kusema hicho ni kisa cha rafiki yangu na rafiki zale huko alinihadithia. Video ilikuwa kwenye flash waliyokuwa wameweka kwenye tv sikuwa nayo mimi na sijaitazama. Ni video zile za porn za ulaya. Me sivuti shisha ila wine nakunywa kama...
  6. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Wajajirekodi bwana ni siri sirini.
  7. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    [emoji23][emoji23][emoji23] wewe
  8. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Mmmmmmhmn kweli?
  9. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Mbombo ngafu[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Yamekuwa hayo tena? [emoji23][emoji23]
  11. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Nina rafiki yangu ana rafiki yake ambaye sipo nae karibu sana. Tulikuwa tunaongea juzi tukiwa tumekunywa wine kidogo. Katika story akaleta confession baada ya kunambia kisa cha rafiki yake. Alisema huyo rafiki yake kuna siku alikuwa yupo nyumbani na shoga ake walikuwa wamelewa sana na kupuliza...
  12. Cryspina

    Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

    Habari ya jumapili. Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda kuombwa hela, pamoja na swala zima la kujitambua kifikra, finance, kutafuta mali, kujenga Wealth, na kuwa...
  13. Cryspina

    Engine gani ya Toyota inaweza kufit katika VW golf mk3?

    Sasa kaka si ununue vifaa vinavyotakiwa. Kama hiyo sensor, bakuli chini na kuvireplace..... Ina mileage kiasi gani?!
  14. Cryspina

    Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

    Ugaidi ni ugaidi tu. Ugaidi ni kutishia maisha ya wengine na kuyaweka hatarini kwa lengo la kutimiza matakwa yako binafsi. Hao umewataja ni wahalifu ila katika sura nyingine kabisa. Hao ni wahalifu na ndio maana tuhuma zao unaona zipo tofauti na za Osama au wale magaidi wengine ambao uhalifu...
Back
Top Bottom