Recent content by Crumpy Crumper

  1. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Mkuu sorry naomba niulize kidogo.. Ivi Google Pixel 4a ina support eSIM??
  2. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Zipo Mzee
  3. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Mbuzi anajamba sio ?[emoji23]
  4. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Kuna aina za simu ukiwa unatumia unaweza kukosa vitu vingi

    Yaani Tarakimu 10 zinakushindwa kukariri
  5. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    SSD 128gb kiasi gani mzee??
  6. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania The software does not match the phone (oppo A57)

    Refurb ya 64gb kwa ram 4gb, afu inauzwa 120k .... Hivi hamkushtuka tuu..
  7. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Now days wamepunguza sana GBs, so cheki kama vitakufaa..
  8. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Habari Chief, nina tigo Postpaid ya 30gb per 25k lakini naona bado haitoshi kwa matumizi, nafikiria nihamie Ttcl adsl kwa 25k Je kwenye ADSL naweza shusha 100gb kwa mwezi Au nibaki tuu na hii TG postpaid?
  9. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

    Waweke na cha 30k {Unlimited} download speed iwe 200kb.... si tutavumilia tuu
  10. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S8 vs Iphone 6s nichukue ipi ?

    Edge display inatakiwa uitunze kama Yai.. Na kioo bei yake sio chini ya 200k
  11. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Dah! Epsidode ya dk 50 inapakuliwa kwa 4gb...[emoji3][emoji3] Hongera mzee ,acha sisi wengine tupambane na kina Netnaija
  12. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hiyo line ya mwisho ndo alipofeli, {Tunahack calls na sms }
  13. Crumpy Crumper

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tangu August, 30gb kwa 25k per month huo mzigo umeingia tar 1
Back
Top Bottom