Recent content by Cruel mpole

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    nakuunga mkono kwa 100%.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Tutambuane Wakazi Wa Mwanza Wanaoishi Dar Es Salaam Sasa

    Nyegezi seminary hapa!Nipo Kigamboni.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Usiombe kukutana na jambazi akiwa kazini..!

    Yaani wana jf hawapo makini.Jamaa anawapima kama mnakuwaga makini na usomaji,yeye kaweka tarehe ya leo then akasema jumatatu,kitu ambacho hakipo,story yakutunga hii
  4. C

    JamiiForums Tanzania I'm HIV+VE but i still enjoy life.

    I don't worry,i'm happy,yeah,i'm HIV+ve.SO WHAT?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba pesa

    Duh!mwaga mboga nimwage ugali.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Taja mifano ambayo ilikufurahisha pindi unaposoma

    Mfano wa mwalimu wangu wa nidhamu wa o level,mwl.----.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni bora usisome huu uzi maana ukisoma utapoteza muda wako bure.

    Mh!kadata.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Katiba ndani ya Boda Boda

    Hii nzuri,mzee sio limbukeni kama malimbukeni wengine.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    we Patrickn nini sasa?jibu swali usiongeze swali jingine bhana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Eti anayejua nini chanzo cha maeneo haya mpaka kuitwa majina haya?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nyie mgambo wa jiji,sio kila mwendesha pikipiki mitaa ya posta ni bodaboda,wengine ha

    Hv kwanini Dar sasa hivi inakera na inaonekana si salama tena?Hv kwanini raia wananyanyasika pasipo sababu za msingi,sisi sote niwatanzania,ila najua kwamba tunazidiana kiuchumi,utakuta wengine wanamaisha fukara,wengine masikini,wengine wenye maisha xa kati na wengine matajiri,na wengine ni...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    wewe vipi?Njoo tu mock bangi basi,nakuandalia kete 3 na kali nusu.UTAWEZA MAPIGO?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo: Bajaji Iringa-zatoa huduma bure

    Tabulla lazza.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    chama gani?Acha kumbwela mtoto wakiume.Majungu hayo,ambayo hayakufikishi popote.R.U.B.B.I.SH.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    Sio lazima upost kitu chochote humu jf.JF sio solution ya kila kitu.Vitu vingine unatakiwa ufanye utafiti wewe mwenyewe.Au unatafuta sababu yakuisimanga F.F.U?,kaa chini ufikirie maisha yako na si maisha yawenzako.AchaMAJUNGU MKUU.
Back
Top Bottom