Recent content by cross power

  1. C

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Waafrica tunakuwa wa ajabu. Tunawezaje kuthamini mipaka aliochora Mjerumani na kutugawa. Na kubeza juhudi za waasisi wazalendo wa kiafirika waliojaribu kuunganisha tena jamii zetu baada ya kumwondoa mkoloni. Kama tunaidai Tanganyika yetu. Tukiipata Tanganyika, Siku Moja tutaidai Kilimanjaro...
  2. C

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Ni sawa kabisa. Nakubali ni Mtumishi wa Mungu. ila kumbuka wako watumishi wa Mungu wenye kuona serikari mbili ndo jawabu. Ni vema hisia zako kama kiongozi wa dini ziwe zako na wala sio za kanisa. Una waumini wenye milengo ya kisiasa tofauti na wewe . Na hilo haliwafanyi wao kuwa wahaini...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    je kuna ushahidi wa maandiko katika agano jipya unaoonyesha wafuasi wa Yesu au kanisa la kwanza, wakisherekea kifo na kufufuka kwa Yesu?
  4. C

    JamiiForums Tanzania BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    siasa kanisani! sio sahihi
Back
Top Bottom