Recent content by critica junior

  1. critica junior

    JamiiForums Tanzania Rupia ya Mjerumani: Ni kweli sarafu hii ina thamani kubwa au ni story tu?

    Thamani ya rupee ni kubwa endapo tu haijagongwa kwenye pembe maana watu uitumia kwa mambo ya kishirikina na wakifanya hivyo huigonga kwenye pembe na kuitupa hapo kazi yake inakua imeisha. Hivyo ukiiokota katika hali hiyo basi inakua si kitu tena
  2. critica junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

    Uliposema msikiti ndipo uliponiibua hata kuthubutu kujibu hii comment yako. Msikiti ni sehemu ya kufanyia ibada kwa waumini wa dini ya kiislam, hoja yako ya kusema “ Alizoea kupewa udaku na asad wakiwa msikitini” Kidogo inaweza ibua hisia kwa waumini wa dini hiyo tafadhali kama huto jali...
  3. critica junior

    JamiiForums Tanzania Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    Chief sidhani kama ilikua ni lazima kuzungumzia imani za watu, itikadi za chama au ukanda wao. Kwani sote tu kitu kimoja na hoja hii haina afya kwa umoja wa kitaifa kwani inawatenga watu fulani na kuwahisisha watu fulani. Ni bisara sana usishambulie itikadi wala asili ya mtu yeyote kwani haya...
  4. critica junior

    JamiiForums Tanzania Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    Watu wangu mtaangamia kwa kukosa maarifa
  5. critica junior

    JamiiForums Tanzania Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

    Inahitaji akili ya Ziada kuelewa
  6. critica junior

    JamiiForums Tanzania TIA SELECTIONS

    TIA SELECTIONS
  7. critica junior

    JamiiForums Tanzania Udahili awamu ya pili na ya tatu ni changamoto kwa wanafunzi

    Ni katika jitihada za kuwasilisha malalamiko yangu kwa niaba ya vijana wenzangu. Zoezi hili la udahili kwa mwaka 2018/19 limegubikwa na sintofahamu kwani nadhani hakuna link baina ya TCU na vyuo. Tazama kwa mfano awamu ya pili ilivyoendaenda mambo ya kuconfirm na changamoto zake alafu tena...
  8. critica junior

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea kujaza taarifa zao katika form za mikopo

    Nenda kapige tena copy ongeza contrast alafu kipige muhuri tena ndo ukiattach
  9. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    HEROS HONOR TV has shared a file with you - Acrobat.com
  10. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    Angalia hii kaka utakuta
  11. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    Sorry kaka ni la chini baada ya hilo la round ya tatu
  12. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    Majina hayo kwenye hiyo link
  13. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    HEROS HONOR TV has shared a file with you - Acrobat.com
  14. critica junior

    JamiiForums Tanzania FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

    [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] hiyo hapooooo juuu
Back
Top Bottom