Recent content by cristian damas

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mahari kwa wanyakyusa

    kwani wachaga wao mahari ni kiasi gani?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mahari kwa wanyakyusa

    wapi huko kwenu?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuvua pichu pasipo kupenda

    dada acha masihara weye haupo serious hata kidogo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    ni kweli unajuwa watu tunapishana upeo akil hekima na busara wapo wengi kwa kuwa tu wana smart phones wanajuwa kuandika na wanaweza kufunguwa massage wanajb jb tu bila hata kuelewa ndy shida inapoanzia cha msingi hapa yabidi tushirikiane kujenga jamii yetu kwa ustadi mkubwa ni aibu sana kwa watu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    sijajuwa kama umesoma ukaelewa ndugu kuwa mstaarabu usitumie uzoefu kwenye vyombo vya moto
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    bado unaweza kuwa na mawazo yenye faida hekima na busara yaletayo tija kwangu na kwa jamii ndugu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    nadhani utakuwa hujaelewa vizuri soma tena nahc unaweza kutowa mawazo bora zaidi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    good on you guy
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    kivpi? wang
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    thanx guy
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni busara kwa mke wako kukuambia hivi?

    Ni busara na hekima kwa mke wako kukuzuia nanukuhu SITAKI KUFUATILIANA KWENYE SIMU HUYU NANI? JINA LA NANI? NAONGEA NA NANI? Je ni sawa hi? ni wajibu wa nani kujuwa? nipeni mawazo yenu wakuu simple and clear without abusive words may God lift up you all.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

    si sawa mwanamke ama mwanaume kumwambia mwenzake fulani amenitongoza ama nimemtongoza si busara hata kidogo kwani wengine huwa hawawezi kustahimili kutongozewa wanajiweka katka sehemu mbya xana je? anaweza akawa anahtaji ajuwe unampenda? je usikiapo fulani amemtongoza unakuwaj? am umzoee pamoj...
Back
Top Bottom