Recent content by crista galli

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mke Bibi wa King...

    Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

    Hospitali gani ndugu ulienda?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

    Asante mkuu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kujua jinsia ya mtoto

    Wadau naomba kuuliza kuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa vipimo na vifaa vya hospitalini kwa mimba ya mwezi mmoja? Wenye ujuzi naomba kujuzwa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pressure ya macho ndio nini ?

    We ni product ya vet toka SUA lazima umeiva aisee hongera
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    Ni pm nikupe ufafanuzi kuhusu SUA, mi nipo hapo naingia mwaka wa tano
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sokoine University Of Agriculture Special Thread

    Karibuni veterinary medicine
  8. C

    JamiiForums Tanzania SUA mfumo wenu unasumbua na hauna mtiririko, angalau igeni mfumo wa UDSM

    Hiyo ndo SUA hata masomo yana complication hizo so jiandae kwa vyote, hata ulalamike vipi hawatabadili huo mfumo,ukiona vipi nenda huko UDSM
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tahadhari

    Hamna dawa ya kuongeza uume, iwe ya hospitalini au ya tiba za asili, usdanganyike
  10. C

    JamiiForums Tanzania shamba la kupanda miti Mufindi-Iringa

    unauziwa ndo maana nikaandika kama unahitaji nitafute katika hiyo namba kwa ufafanuzi zaidi,sababu kutkana na ubize huwa siwi online mara nyingi
  11. C

    JamiiForums Tanzania shamba la kupanda miti Mufindi-Iringa

    shamba lenye ukubwa wa hekari 600 ambazo zipo pamoja linauzwa bei ni Tsh.300,000 kwa kila hekari,kwa anayehitaji anitafute katika 0784339181.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtaalamu wa mifugo?

    mpe Ascaten p
  13. C

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtaalamu wa mifugo?

    Kama unahitaji ushauri,matibabu,chanjo,kuhasi mbwa,ngo'mbe,mbuzi,nguruwe na kondoo,kutoa kizazi kwa mbwa na paka yaani kwa ujumla mambo yote yanayohusu mifugo kwa wale wa DSM tuwasiliane kwa 0784339181.
Back
Top Bottom