Recent content by Crispin Nyoni

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa ushuru wa vibanda vya biashara (magenge) Mshangano Songea umetusikitisha

    Inauma sana ila hongera zao walioichagua CCM
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa ushuru wa vibanda vya biashara (magenge) Mshangano Songea umetusikitisha

    Hatujaisikia tena ila hali hii inatukatisha tamaa hakika
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mchango wa ushuru wa vibanda vya biashara (magenge) Mshangano Songea umetusikitisha

    Hongereni kwa ujenzi wa taifa. Leo hapa kata ya Mshangano Songea afisa mtendaji ametangaza ushuru wa magenge ya mitaani shilingi elfu moja kwa siku. Yaani kwa mfano wewe hapo nyumbani kwako uweke genge dogo la kuuzia nyanya,mbogamboga, vitunguu nk ili kurahisishia majirani wasifunge safari ndefu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Acheni kutumika na chama. Nchi hii ina vyama vingi lakini cha ajabu mnarusha sana tena live matangazo ya chama.Ondoeni kipindi cha chereko, hawavumi, uchumi wa viwanda na vyote mnavyoona havina msisimko kwa jamii. Mkitumika kwa usawa bila kujali chama na ilani nawahakikishia Mungu atawabariki mno
  5. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    SASA MFANO HATA HUTAZAMII UTASOMESHA HAPO INAKUWEJE JE?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    SIO MIMI ETI PENYEWE HAPO
  7. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    KODI ZETU SI NDO ZINATAKIWA ZIFANYE YOTE HAYA?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Bei zenu za vifurushi bado vipo juu sana hatari. Bora mpunguze Meseji lakini MB ni ziwe nyingi za kutosha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya shule kwa wananchi nyumba kwa nyumba Mshangano Songea

    Za leo wadau. Hapa Mshangano kumekuwa na huu mchango wa shilingi elfu sita kwa kila kichwa ili kujenga shule. Shule imeshajengwa na sasa kuna makerebisho madogomadogo kama kuongeza madarasa na kadhalika. Sasa swali langu ni je? Ni halali watu kusutwa kwaajili ya michango hii au kutoa mchango...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja

    KWELI KABISA
  11. C

    JamiiForums Tanzania Haya makanisa yana vituko sana lakini wana waumini wengi ajabu

Back
Top Bottom