Niliishi kwenye mifumo ya kipentekoste zaidi ya miaka 20, Nanena kwa lugha ambazo hata mitume wala manabii hawajawahi Nena. Wachungaji waliniambia ni lugha za Malaika, Wakati siyo sahihi, maana Malaika wote walioshuka Duniani walinena lugha za wanadamu. Nimetoka kwa Sasa Nina Amani na nipo huru...
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi kufanikiwa Tangu mwanzo.
Ufalme wa Mungu ni mfumo wa Maisha mbali na Maisha ya kidini na Dhehebu. Ni...
Njia pekee ni kumpokea YESU kristo, aliye ishinda dhambi na mauti, ili akuondolee hiyo roho ya tamaa since you never solve spiritual problem by a technique of human mind, ukifanya hivyo utakuwa unajipa likizo tu kwa muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.