Recent content by cripper

  1. cripper

    Laptop inauzwa

    450 ipo hapa mkuu.
  2. cripper

    Basi la NEW FORCE-GOLDEN DEER namba T 445 DDT limepata ajali Kitonga

    siyo yeye. hata hivyo lorilimeteleza sababu ya mvua
  3. cripper

    Basi la NEW FORCE-GOLDEN DEER namba T 445 DDT limepata ajali Kitonga

    hivi kabla ya kuhukumu mmejua chanzo cha ajali?
  4. cripper

    Basi la NEW FORCE-GOLDEN DEER namba T 445 DDT limepata ajali Kitonga

    siyo linyama, linyama anatumia DJQ 232
  5. cripper

    Msaada UDOM third batch missmatch of names

    hapo midle name inabidi iendane na cheti. iwe initial isiwe full
  6. cripper

    Msaada UDOM third batch missmatch of names

    course aliyo chagiliwa ni B.of education in guidance and counseling
  7. cripper

    Msaada UDOM third batch missmatch of names

    huyo naye name miss match
  8. cripper

    Msaada UDOM third batch missmatch of names

    itawezekanaje mkuu na huku T.C.U wanasema jina mismatch.
  9. cripper

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    mfano ukichoma mafuta ukapeleka evidence zote T.C.U including cheti cha kuzaliwa uta ruhusiwa kwenda UDOM.
  10. cripper

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    aisee hiyo namba ipo busy muda wote. kuna lolote unalojua mkuu kuhusu hiyo issue
  11. cripper

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    hivi miss match of names wanafanyaje jaman
  12. cripper

    Msaada UDOM third batch missmatch of names

    Naomba ufanunuzi jamani kwa hii issue ya missmatch of names. nahitaji kujua kama-: 1. Umechaguliwa na chuo ila TCU awaja approve. 2. Je ukienda kudhibitisha taarifa utaruhusiwa kuendelea na course waliyokuchagua au mpaka uombe tena.
Back
Top Bottom