Magufuli alikuwa anaekekea huko ila tukaanza kumpigia kelele eti hayo ni maendeleo ya vitu sisi tunataka maendeleo ya watu.
Kampeni hiyo ilikuwa inaongozwa na kina Zitto, mwishowe wakamuua kabisa
Siyo hofu bali ni uhaoisia kabisa!
Wakilemaa wanaondoka kabisa kwenye uso wa dunia, ndio maana huwa wakishusha kipigo kinakuwa kikali kwelikweli.
Waarabu hasa Iran wangekuwa na nukes wangeshawafuta kabisa
Vita za siku hizi ni za kulegezana kiuchumi, Putin kwa sasa yuko hoi hui mfupa atahangaika nao sana maana wenzake wanatoa makucha kwa step.
Mwanzo ukrain ilikuwa inanyimwa ruhusu ya kishambulia moja kwa moja ndani ya Urusi sasa jiulize nini kimetokea sasa hivi? Haipiti siku 2 Ukrain hawajapiga...
Katika watu wapumbavu nchi hii ni yule .
Eti alikiwa analinda katiba ambayo huyo chura kiziwi anaikanyaga kila siku.
Mbaya zaidi wanaume wenzie kina Ndugai na Kasimu waliokuwa karibu kabisa na chura kiziwi walimwambia mabeyo kwamba huyo ni ziro ataitumbukizi nchi pabaya ila halikuelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.