Recent content by Crimea Bridge

  1. Crimea Bridge

    Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Hii issue ya oil chafu ikoje.. wapi inapatikana na soko la kuuza ni wapi.. I'm interested
  2. Crimea Bridge

    Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

    Ndugu yangu wanasheria sikuizi ni wafanya biashara.. wanaangalia zaidi mapato yao kuliko uchungu wa kukusaidia.. pia unaweza ukawa na mwanasheria mzuri hakimu akahongwa.. hatakama una ushahidi unaweza ukapindishwa.. system yetu ipo vibaya sana na mtu akitoa pesa kidogo sheria inapindishwa mpaka...
  3. Crimea Bridge

    Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

    Uwezo wa kunilipa anao.. ndio maana kila ninapo enda anatanguliza pesa ipi wanipotezee.. kama hapo police ndio kabisa nikienda tu wanasema wewe bwana kesi yako ya madai nendeni mahakamani wenyewe
  4. Crimea Bridge

    Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

    Kuna mdau alikuwa ni mteja wangu, hapa Kariakoo. Nilikua nampa mali kauli ili akauze, mara ya mwisho kabisa uyo mteja alinitapeli. Hakunilipa pesa yangu. Nikafuatilia kwa njia ya sheria na kutumia police wa pale Central ya posta Tukafanikiwa kumkamata lakini kama mnavyojua police hawahusiki na...
  5. Crimea Bridge

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Mimi issue yako ni kama yangu, yalinishinda nikaamua kumchana live arudi kwao. Aniache kwanza nijitafakari. Sawa sina kazi kwa sasa lakini nahudumia familia kwa kila kitu. Dharau ni kitu sipendi kutoka kwa mwanamke. Bora nikae peke yangu kuliko kukaa na mtu anae kudharau ndani. Sasa hvi yupo...
  6. Crimea Bridge

    Naota nipo shuleni na nishamaliza zamani

    Hii inaweza kuwa kweli mimi pia ni mhanga wa ndoto za namna iyo..
  7. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mbappe anatakiwa aende Madrid ili aanze kuchukua ballon D'or.. akitoka messi ni mbappe kwa sasa. Naona kama ndie atakae rithi mikoba ya cr7 na messi combined.. ila aende Madrid.
  8. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Leo nataka kubeti kwa mara ya kwanza.. ila nataka nibeti kwa Argetina kuchukua wordcup. Je inawezekana kubet atakae nyanyua ndoo.. na sio betting ya magoli au ft yaani nataka nibet kwa atakae beba ndoo.. either by ft, extra time au penalties
  9. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    UTABIRI: Game ya leo jinsi itakavyokuwa [emoji23]
  10. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kuna watu wamesema mesi mzee wa penati.. nimeweka hapo rekodi za mesi na ronaldo nani anategemea penati
  11. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Messi leo atathibitisha yeye kuwa GOAT.. na hakuna atakekuja kama yeye labda miaka 700 mbeleni..
  12. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kuna mwamba alitabiri mesi kuchukua kombe la dunia leo.. jamaa alitabiri 7 years ago.. 2015... hii imeshangaza wengi alijuaje tarehe ya fainali tokea mwaka huo 2015..
  13. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Di mari, dyabala yaani
  14. Crimea Bridge

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mimi Argentina lakini leo tunapigwa... hiki kikosi sijakielewa kabisa.. bora namba 3 angewekwa Lisandro Martinez
Back
Top Bottom