Recent content by creedfx

  1. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    😁 macho yaliyobeba historia ya namna watu wanvyoweka mtazamo juu yake
  2. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    We are disappointed when it won't meet the reality
  3. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kiukweli me bado mdogo sana mid 20's ila my perspectives kuhusu maisha nahofia sana kuangukia kwenye kua mtu wa kuumiza wanawake na kua baba wa watoto watakao lelewa na mzazi mmoja, naomba sana Allah anijaalie furaha na Familia ambayo itakua sababu ya mimi kua mchamungu hapa duniani na maisha...
  4. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Asante sana kaka, kiukweli nimefarijika sana nakuj PM kupata nasaha zaidi
  5. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Ni kweli In shaa Allah, Mola atamsaidia atapona awe sawa.
  6. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Sometimes rejection is protection
  7. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kubwa sana, sitamani kusikia watu wameachana ila Leo mimi ndio naachana na mtu ambaye ndio alifungua moyo wangu baada ya kujizua kwa muda mrefu
  8. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    She is perfect bro, shape, Hana makuu sauti ya upole ila maumivu ya moyo wake yakaninikosesha mke
  9. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Angelikua hataki sms zangu angelifuta namba na kuniblock ila kina status yangu yeye ndio wa kwanza kuiangalia
  10. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Lakini yeye ndio alinionyesha upendo mpka akanikutanisha na mama yake mzazi ila Leo nimekua adui yake bila kujua sababu ni nini.
  11. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Nilikaa miaka nikijizua kutamani wanawake ila, imeonja uji ingalinumetoka jikoni sasa naogopa hata kunywa maji naona yale yale yatajitokea
  12. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Ni historia ya kweli nimeandika kwa maumivu makali kama njia ya kunisaidia kupona ila bado nikikumbuka sikuwah fanya kosa lolote kwake wala kumuonyesha dharau yoyote yeye akaamua kunichukia na kukataa kabisa mawasiliano na mm
  13. creedfx

    Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona. Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...
Back
Top Bottom