Ilihali hakuna kati yenu wawili aliyemlazisha mwenzie kila kitu kipo sawa, hivyo basi;
1.Muheshimu na kumpenda mkeo mtarajiwa
2. Jitahidi sana kutunza siri za familia yako iwe kwa ndugu, jamaa, jirani au rafiki.
3. Tafuta mishe nyingi za kufanya, usitegemee shamba tu, bado ni kijana kabisa una...
Daah hapo inategemeana......
Anaweza kuwa wa utotoni na akakupiga tukio kubwa, na wa ukubwani akakusaidia vizuri tu....
Cha kufanya ni siri zetu wala maisha yetu marafiki tusiwaonyeshe kiundani
Yote yamepita mzee, kilichopo muoe huyu wa dini na akili za maisha.....
Chondechonde usiwaze wala kumpigia yule mwenye hela eti mrudiane...... Atakupiga na kitu kizito kichwani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.