Recent content by Creah

  1. Creah

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi halali yoyote anisaidie nipo

    BAHI Dodoma
  2. Creah

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi halali yoyote anisaidie nipo

    Habari wanaJamiiForums Naomba mtu yeyote mwenye mchongo wa kazi anisaidie. Kitaaluma Mimi ni mwalimu ila Nina fani mbalimbali ninazoziweza tofauti na uwalimu kama vile. -Ujenzi -Computer -kusimamia biashara/mradi Hivyo mtu yeyote mwenye mchongo anisaidie nipo Dodoma Contact * Mob...
  3. Creah

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha shule/ shule shikizi

    Mtaji NI changamoto pia
  4. Creah

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha shule/ shule shikizi

    Mimi NI mwalimu daraja la IIIB . Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya SHULE na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja na ofisi. Shida NI kwamba toka wajenge madarasa hayo NI zaidi ya miaka kumi sasa hayafanyiwi KAZI...
  5. Creah

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha shule/ shule shikizi

    Mimi ni mwalimu daraja la IIIB. Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya Shule na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja na ofisi. Shida ni kwamba toka wajenge madarasa hayo ni zaidi ya miaka kumi sasa hayafanyiwi kazi...
  6. Creah

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu nazo zinapaswa kuangaliwa ajira portal?

    Subiri saa 5 utapata ufafanuzi kutoka Tamisemi
  7. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

    Bado hajasema wala hatajaanza ndo Kwanza tunatesti mtaona mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Creah

  9. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga vs simba in caf champions league

    Ukitazama kwa jicho la kiufundi sio kimahaba makundi yote mawili ya Simba na yanga utagundua kuwa hakuna mwenye unahakika wa kutinga robo fainali. KUNDI LA SIMBA Ukimtoa WYDAD mwenye consistence ya kufanya vizuri internationally utaona timu tatu zilizobakia zinauwezo Sawa but kirenki Simba yupo...
  10. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

    Wala sikumaanisha kikanuni ila kiutabili na imetimia pia kundi la. ESPERANCE TP Mazembe ETOILE DU SAHIL Pyramid
  11. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

    Niyawekeje tena mkuu[emoji848][emoji848]
  12. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

    Hahahaha ngoja tusubir
  13. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

    Yah itakuwa live azamtv
  14. Creah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

    PORT 1 Al Ahly Wydad AC ESPERANCE MAMELOD PORT 2 SIMBA SC CR BELOUIZDAD PYRAMID PETRO DE LUANDA PORT 3 YOUNG AFRICA TP MAZEMBE AL HILAL ASEC MIMOSA PORT 4 ETOILE DU SAHIL JWANENG GALAXY NOUADHIBOU MEDEAMA Hapa ni mataifa matatu pekee ndo yameingiza timu mbili mbili yaani EGYPT, TUNISIA...
Back
Top Bottom