Kuelekea Kwenye Droo ya Makundi Ligi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

Creah

Member
Apr 6, 2018
75
79
PORT 1

Al Ahly
Wydad AC
ESPERANCE
MAMELOD

PORT 2

SIMBA SC
CR BELOUIZDAD
PYRAMID
PETRO DE LUANDA

PORT 3

YOUNG AFRICA
TP MAZEMBE
AL HILAL
ASEC MIMOSA

PORT 4
ETOILE DU SAHIL
JWANENG GALAXY
NOUADHIBOU
MEDEAMA

Hapa ni mataifa matatu pekee ndo yameingiza timu mbili mbili yaani EGYPT, TUNISIA Na TANZANIA. Kwa mjibu wa kanuni nchi zilizoingiza timu mbili kutokana na port zilivyopangwa kuna uwezekano wa timu mbili za nchi moja kuwa katika kundi moja. Mfano

KUNDI B
Al Ahly
Young Africa
Pyramid
Jwaneng galaxy

KUNDI A
ESPERANCE
SIMBA SC
ETOILE DU SAHIL
ASEC MIMOSA

KUNDI D

WYDAD
YOUNG AFRICA
SIMBA
NOUADHIBOU

KUNDI C

MAMELOD
SIMBA SC
YOUNG AFRICA
MEDEAMA

Ukweli ni kwamba Simba na yanga kuwa kundi moja kama wengi wanavyotaka haitatokea ila naona uwezekano wa nchi za kiarabu inaweza kutokea.

UTABIRI WANGU

KUNDI A

WYDAD
PETRO DE LUANDA
AL HILAL
MEDEAMA

KUNDI B

MAMELOD
SIMBA
ASEC MIMOSA
NOUADHIBOU

KUNDI C

Al Ahly
CR BELOUIZDAD
YOUNG AFRICA
JWANENG GALAXY

KUNDI D

ESPERANCE
TP MAZEMBE
ETOILE DU SAHIL
PYRAMID
 
Kumbe inarusiwa team za nchi moja kuwa kundi moja basi yaleteeni makolo
Walioko ktk pot moja hawawezi kukpangwa pamoja.

Kundi linatengenezwa na timu moja kutoka ktk kila pot. Ndiyo unapata timu 4.Na pot ziko nne.

Yanga na Simba zinaweza kuwa kundi moja kwasababu wako pots tofauti. Simba pot 2 na Yanga pot 3
 
Walioko ktk pot moja hawawezi kukpangwa pamoja.

Kundi linatengenezwa na timu moja kutoka ktk kila pot. Ndiyo unapata timu 4.Na pot ziko nne.

Yanga na Simba zinaweza kuwa kundi moja kwasababu wako pots tofauti. Simba pot 2 na Yanga pot 3
Wala sikumaanisha kikanuni ila kiutabili na imetimia pia kundi la.
ESPERANCE
TP Mazembe
ETOILE DU SAHIL
Pyramid
 
Back
Top Bottom