Habari wakuu,
Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira au Connection.
Jinsia: Me
Elimu: Bachelor Degree of Banking and Finance.
Ninapoishi: Dodoma
Uzoefu wa kazi : Sina uzoefu mkubwa kwenye Carrier yangu zaidi ya kufanya Field mara...
Nimekuwa inspired sana na hii kitu naweza kujifunza wapi au college gani wanatoa haya mafunzo...???
.
.
.
Sorry mtoa post if you don't mind naomba nije PM au nikuchek WhatsApp nipate maelezo kidogo au kama kuna mtu anaeza nijibu mahali naeza kujifunza basi I'll be pleased.
Regards...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.