Recent content by Crashwise

  1. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Yaani kwako ukivamiwa na majambazi usiseme umevamiwa na majambazi maana polisi hawatakuja au watachelewa wewe sema kuna chama hapa wamevaa tshirt zimeandikwa katiba mpya utashangaa magari hata 10 yamefika.
  2. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Kwani mahakama ndiyo iliyomfungulia mashitaka?
  3. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

    Acha kuzalilisha taalum ya watu, mwanasheria gani anaweza fanya huo upuuzi
  4. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Na unafurahia ila uzuri kwenye Tozo tunakatwa wote, bei za mafutavyakipanda tunaumia wote pumbavu
  5. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Na kuna wengine tumeshauliwa kama kweli Mbowe anamuamini Mungu atuambie ukweli sasa siku nzuri ya kutuambia ukweli ni hiyo tarehe 05.08...watanzania tujitokeze kwa wingi, gaidi asiekuwa na silaha akatuambie ukweli twendeni mahakamani tarehe hiyo..
  6. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Zero anaapa kwa Mungu kuwa anaushahidi lakini aliapa pia kwa MO na kutuonyesha picha za gari ya watekaji mpaka leo kimya, huyu mzee nimshauri asitafu tu...
  7. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Nipo sana kamanda wangu...
  8. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

    Kwa hiyo unatakaje, kwani hakuna sheria... Kwa mashabiki tu swala la bilion 20 ameweka au hajaweka inatusaidia nini?
  9. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Ni wakati wa jino kwa jino
  10. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Kwahiyo chadema wasikusanyike ila ccm ni ruksa kukusanyika?
  11. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Sawa sawa
  12. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Mbona mechi ya Simba sc na Utopolo watu nyomi hatukuona hilo zuio
  13. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Safari hii itaruhusu..
  14. Crashwise

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Mkuu niko njiani kama vipi waje watufunge wote..
  15. Crashwise

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Unampiga mtu risasi 30 bado anakusumbua unaambua kupanga kumchoma sindano ya sumu ukiamini itamuua, safari hii hatutakimbilia kuvaa tshirt za pona haraka Lissu mmeshatuona mazombi nchi hii.
Back
Top Bottom