Mbona maam yako alieenda kupiga magoti huko marekani na akaenda tena na peter wa royal tour leo hio mnamtukana marekani na Un wakati kutwa mnajipendekeza kwake
Acheni ujuha basi
Huku mtaani wizi ulikithiri kipindi cga jpm kila siku nyumba zilikuwa zinasafishwa mwaka 2020 watu wakapanga mikakati
Wezi wawili walikamatwa na kupewa kisago kikali
Siku nyingine mwizi mwingine msumbufu alidakwa alipewa adhabu na pona yake aliwahi kuishi mtaani zamani tokea hapo hadi leo...
Labda mwenzetu unaishi masaki ndio maana mlikuwa mnalala milango wazi au unaishi ushirombo dar hujawah kuishi unatuchora tu
Sisi wa uswazi lazima tujikoki anytime na si uswazi tu hata kata zinazoendelea kama goba nk kulikuwa hatari
Ndg yangu kwa kweli nimeishiwa nguvu kwa sifa hizi ulizozitaja ndio sehemu jamaa yangu alitaka kunipeleka ..asante sana ndg naona sii sehemu salama na nyumba ilitakiwa niende kesho kutizama
Nimepata kazi Dar es salaam maeneo ya temeke foma na kuna mtu kanitafutia chumba maeneo ya Tandika kaburi moja kwa Bakar Amadi
Lakini kabla ya kuhamia kama kuna wenyeji naomba mnipe ushauri,sifa ,tabia na masuala mengine yatakayonisaidia katika harakati zangu za maisha ya kila siku
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.