Filamu inaitwa QUEEN OF KATWE.Ni kisa cha kweli kinachoelezea historia ya binti wa miaka 10 (PHIONA MUTESI) anaeishi katika lindi la umasikini uliokithiri na mama yake (LUPITA NYONG'O )npamoja na wadogo zake baada ya baba yao kufariki na kuwaacha wangali wadogo.
Filamu imetengenezwa KATWE...
Pole na changamoto mkuu.Magonjwa yanayosumbua kuku ni mengi.Ila magonjwa hatari kabisa ni magonjwa yanayosababishwa na Virusi.namaanisha NEW CASTLE,GUMBORO,,MAFUA MAKALI(mafua makali ni tofauti na na mafua ya kawaida.na ukumbuke kuwa magonjwa yanayosababishwa na virusi mengi HAYATIBIKI.Kwa...
1.movie zinazotumia watu wengi sana mfano zile zinazoonesha empire au ufalme kuna washiriki Wa aina mbili wanao kuwa halisi na wengine ni computure generated image(CGI).
2.Green screen inatumika Kuondoa background kwasababu ni rangi pekee isiyopatikana kwenye mwili Wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.