I don't know anything about them....pia haina effects zozote za kuwajua au kutowajua hao Freemasonry
Sasa kama ni ivo wann sasa. ..hawawez nipa any assistance so
.kwangu they r meaningless af xtak comment
Nilitegemea ungeainisha faida za kimanufaa labda ugunduz au anything... Kumbe ni mambo ya mazngaombwe du...huo ni upuuzi wa kufanya vtu kwa nguvu za majini/Lucifer......et jicho la tatu haha...au ndo yale macho ya Zanzibar na mombasa kuyafungua du ujnga
Kuna baadhi ya huduma na offa zenu sio za kweli....kwa mfano TUZO...nimefikisha points 2000 lkn nikiingia menu ili kutumia points zangu inafell...tena tatzo sio mtandao maana pengine mtandao upo kawaida ila tuzo tu....sasa tuelewe vp uongo au wizi......pia sasa hiv ukipiga huduma kwa Wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.