Hii changamoto tupo wengi, ushauri muhimu ni kuzingatia na kutilia maanani masuala yanayohusu mustakabali WA maisha yako.
Jiweke mbali kabisa na mbaya wako/mnafiki wako hata aoneshe kukujali vipi.
Usinisumbue kuuliza kuuliza chochote kuhusu mabaya anayokutendea au kujaribu kitafuta suluhu na...
Chukua asali ya nyuki wadogo changanya na mdalasini ya unga Kisha paka kwenye makovu, subiri kwa nusu saa na uoshe kwa maji ya vuguvugu.
Fanya hivyo mara kwa mara utaona matokeo
Mpaka sasa hajatokea kiongozi yeyote mwenye Nia ya kumsaidia mwananchi.
Tunahitaji mfumo Bora wa elimu na viongozi wetu hawako tayari kibadilisha mfumo maana wananchi wataendelea na kiwazidi akili.
Tatizo mradi wa uma na hauna mshindani
Ni kosa kubwa kuita mwendo Kasi wakati mchakato mzima wa kupata gari na safari yenyewe unaweza kuzidi saa nzima na karaha za kutosha.
Kwakua viongozi wetu ambao ni zao la wanasiasa Hawa Nia ya dhati kusaidia wananchi basi tuvumilie kudumisha amani.
Hata humu kwenye forum yetu ungekuwepo Uzi maalum wa upotevu wa vitu ingesaidia.
Vitambulisho ni muhimu kuliko hata fedha zinazokua ndani ya waleti na huleta usumbufu mkubwa katika ufuatiliaji.
Ukienda ofisi mbalimbali na katika vyombo vya usafiri wa uma utakuta vitambulisho kwenye madirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.