Naomba kujua dawa yakutoa makovu miguuni

Naomba kujua dawa yakutoa makovu miguuni

Chamkae

Member
Joined
Feb 3, 2021
Posts
37
Reaction score
21
Naomba kujua dawa yakutoa makovu miguuni (dark spote)kwakutumia njia nzuri ya asili nakutumia hata kamafuta.
 
Chukua asali ya nyuki wadogo changanya na mdalasini ya unga Kisha paka kwenye makovu, subiri kwa nusu saa na uoshe kwa maji ya vuguvugu.

Fanya hivyo mara kwa mara utaona matokeo
 
Back
Top Bottom