Recent content by CPH

  1. CPH

    JamiiForums TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Kwahiyo sisi wananchi ili tugundue kama ni feki. Inabidi tuitumie kwanza?? Sasa kama ni madhara yatanikuta kwanza?
  2. CPH

    JamiiForums Kujiajiri, kujitolea VS Kuajiriwa

    Ukihitimu Chuo serikali inasisitiza Vijana tujiajiri. Unaamua ujiajiri wakati unasubiri kuajiriwa. Haya ajira zinakuja. Serikal hiyo hiyo inasema kipaumbele kwa waliokuwa wanajitolea So Kujitolea ni kujiajiri?
  3. CPH

    JamiiForums Kwa waliosoma hiki kitabu

    Bora umelitambua hilo
Back
Top Bottom