Recent content by Course Coordinator

  1. Course Coordinator

    Mikoa mipya Tanzania

    Geita Njombe Manyara
  2. Course Coordinator

    PreGE2025 Wassira pumzi imekata Hoiiiiiii! ataweza heka heka za Kampeni kweli?

    Juzi alikuwepo msibani kwa Prof Sarungi Wassira na Sarungi ni ndugu wote ni Waadventista wa Sabato. Hata hivo cheo cha Makamu sio cha kuongea ongea na kutembea tembea . Ni mshauri wa chama, yote kwa yote mzee anatakiwa kupumzika
  3. Course Coordinator

    PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

    Mtumishi yeyote wa umma ana haki ya kikatiba kujiunga na chama chochote anachotaka. Vyeo km RC, DC DED ndo vya CCM by the way CAG, AG na wengine wa majeshini hatakiwi kuwa na chama lbd wakistaafu
  4. Course Coordinator

    CHADEMA yaendesha Mafunzo kwa Viongozi wake, Profesa Mussa Assad awa Mkufunzi Mkuu

    Mfano kwenye Utawala na Usimamizi wa miradi ya chama . PROF Assad anaweza kufundisha namna mipanho na matumizi ya fedha,..elimu haina mwisho unachokijua wewe sio anachokijua Prof Assad
  5. Course Coordinator

    Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoongozwa na Tundu Lissu, yateua Wakurugenzi wapya

    Naomba tu kuuliza Kile cheo cha Mkurugenzi wa Itifaki Mawasiliano na mambo ya nje ambaye alikua John Mrema ndo amepewa John Kitoka au hiki ni cha Kitoka ni cheo kipya ?
  6. Course Coordinator

    Makonda alipata wapi Hela za kununua ng'ombe 400 ambazo nyama yake iligawiwa bure kwa Walaji?

    Aliagiza Halmashauri ziliagizwa kuchangia kila Halmashauri ilichangia ng'ombe 1 , kondoo 9, mbuzi 8 Bado mashirika kama NCAA , TANAPA pia yaliagizwa , NGOs na CBOs pia
  7. Course Coordinator

    Yuko wapi Johnthebaptist?

    Ile ni account ya wana Lumumba Huwa wanasoma magazeti na kunywa kahawa hapo CCCM Dodoma ni wastaafu flani hupeanaga vihadithi vya uongo na ukweli
  8. Course Coordinator

    PreGE2025 Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?

    Ni Tz ndo kuna hizi fedha chafu. Nchi zingine Rais atapewa baada kuondoka madarakani na atakua na mfuko maalum wa kusaidia jamii..(Foundation )
  9. Course Coordinator

    PreGE2025 Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?

    Hilo fungu la Rais unalosema huwa linatengwa kwa kazi za kusaidia jamii sio kusaidia makanisa. Mfano Wakati Siku Kuu fedha huenda kusaidia watoto yatima au vituo vya wazee. Na zile fedha zina ukomo wake...Sijui kama ndo Honoraria lkn haijasemwa kupelekwa kanisani au msikitini...Hiyo ni rushwa na...
  10. Course Coordinator

    Kwa wenye imani na numeorogy: Namba 17 ni Lissu

    Jina lenyewe lina herufi 17 Tundu Antipas Lissu
  11. Course Coordinator

    Huu ndio Muonekano Mpya wa Ukuta ndani ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Chadema

    Mbona bendera ya CCM tena au hiyo ni rangi gani ya chama ?
  12. Course Coordinator

    Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

    Sasa kuna mtu ambaye hana mawazo ? Kuna watu wanaishi na mawazo mabaya kuliko hata wenye HIV.
  13. Course Coordinator

    Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

    Mpeni lishe nzuri Nina ndugu yangu ana miaka 25 , hamezi mbaazi yeye amezingatia lishe na mazoez .
Back
Top Bottom