Recent content by Cotan

  1. C

    Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    PLEASE NA KUKUMBUSHA TU. HAMA NCHI YETU NENDA ZAKO BURUNDI.
  2. C

    Nafasi za kazi

    Mkuu.mimi huwa sisumbuliwi na watu wenye tabia ya kutukana kama yako. najua hapa jf kuna baadhi yenu mna degree za matusi. NB kwa anyehitaji kazi tuma maombi tu. asante.
  3. C

    Nafasi za kazi

    Mkuu, kwanza pole kwa yaliyokukuta, Ni kweli usaniii upo takiribani katika kila nyanja ya maisha.Lakini sio kila jambo ni utapeli. Tangazo langu la ajira sio la kisanii (kitapeli) kweli tunahitaji watu kwaajiri ya kazi.Kuto kuweka majina ya kampuni husika kisiwe kigezo cha kuonekana kuwa ni...
  4. C

    Nafasi za kazi

    unadharau kazi!. Tatizo letu wa tz tunadharau sana kazi, lakini mkienda ulaya mko radhi kuosha vyombo ila mkirudi hapa mnaanza kuchagua kazi. Mkuu mimi sioni haja ya kuweka majina ya makapuni yanayohitaji hao wafanyakazi, kwa mwenye nia na mwenye vigezo tajwa omba kazi. Najua wengi wenu...
  5. C

    Nafasi za kazi

    mkuu. Campany name ya nini tena?. Wewe kama unasifa na unahitaji ajira tuma maombi .au kama unataka maelezo zaidi piga simu.
  6. C

    Nafasi za kazi

    NAFASASI ZA AJIRA TUNAAJIRI VIJANA WENYE STASHAHADA NA CHETI KATIKA FAINI ZA BIASHARA. KAZI ZIPO ZA AINA MBALIMBALI KAMA: SALES MANAGEMENT, SHOPKEEPING, PURCHASES MANAGEMENT, STORE KEEPING , & CUSTOMER RELATIUONS TUMA CV YAKO KWA WAKALA WA AJIRA. E-MAIL: mukyarugaba@gmail.com TEL :0712 792341
  7. C

    Duka la kuuza Movie

    mkuu biashara ya movie za collection sasa iko katika mabaridiko makubwa sana watu hawataki movie za english badala yake wengi wanapendelea movie zilizotafsiriwa kwa kiswahi na ma dj wa kibongo, dj wanaempenda zaidi ni mr rufufu mkandala, pia dj khan na dj mark.hivyo collection za kiingereza...
  8. C

    Duka la kuuza Movie

    mkuu. je uko wapi?.
  9. C

    Tangazo la kazi

    Sawa mkuu. tuko pamoja ndg yangu.
  10. C

    Tangazo la kazi

    jambo jema. Mkuu asante kwa mtazamo wako wa kubeza, japo kuwa kweli kuna makosa ya kusahau anuani. Mkuu. Tupo dar es salaam tanzania. Nb ila kwa mwenye shida ya dhati ya kazi tajwa anakaribishwa kutuma maombi mpaka 26/09/2011. ASANTE
  11. C

    Tangazo la kazi

    asante mkuu
  12. C

    Tangazo la kazi

    Mkuu, nakushukuru sana kwa angalizo lako, wakati mwingine nitajitaidi ndg yangu. Kazi njema.
  13. C

    Tangazo la kazi

    asante kwa kunikumbusha katika hili. Kuanzia ngazi ya diploma. Asante mkuu.
  14. C

    Tangazo la kazi

    dar es salaam .mkuu
Back
Top Bottom