Recent content by Cosmasjulius

  1. C

    JamiiForums Tanzania Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakufaa vibaya wew nakuhurumiaaaaaa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakufaa vibaya wew nakuhurumiaaaaaa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dawa na Changamoto zake

    [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu karibu upate madini
  4. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dawa na Changamoto zake

    Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame. Je, tararatibu zipi za kufuata? Unafanyaje ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hii hadhimu ya dawa? Zipi ni dawa muhimu na zinatoka kwa haraka na wapi utazipata...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    sijui ni dada yupi kama ni yule wa mwanza kutuma nauli siwezi... kuna mwingine alisema ana mtoto hapo napo changamoto
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    yupo wapi??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Alafu ni mtu wa heshima huwezi mdhaniaaa.. Yupo hapa hapa dar mpaka picha yale ninayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Huyo mwenye namba hiyo ni tapeliii anasema yupo dodomaa ila ni uongoo.. na uhakika ni member wa jf au kuna member humu anashirikiana nae kutapeli kiufupi aache kuna wengine hawana masiharaaa..!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    +255 672 700 700 Joseph Ngutu.. Tapelii hiloo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Aisee hawa wadada siku hizi wanasumbua sanaa mtu ukimpata mheshimu sanaa me nashangaa wanaowapata alafu wanawanyanyasaa... Unaweza tapeliwaa mpaka ukahisi kufa kufa me nimekataa tama..!! Mwingine juzi kati nimemkatia mpaka tiketi usiku ananimbia hawezi kuja bibi yake amefarikii..
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Yani acha tuu...!! Nae njaa kalii alitaka nitume nauli ya dodoma to dar.. nkasema ngoja nimjaribu nione uaminifu wake za kichwaaa[emoji3062]
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Kuna tapeli humu kaona tangazo akanipanga toka juzi jana akanidanganya nimtumie nauli ya kwenda kwa wazazi wa mtoto yeye yupo dodoma... Hata simu hapokei yani elfu 10 tu yenyewe nilikuwa nasita kumtumia na kesho asipopokea simu ntaweka namba yake hapa ili kama kuna mtu alimtumia namba zangu ajue...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Aaha ok mkuu...!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Tatizo wengi matapeli mkuu ukituma nauli humsikii tenaa na dada haji.. Kama una uhakika huyo ni mwaminifu naomba unitumie namba PM mkuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaidizi wa kazi za ndani

    Ndugu zangu nahitaji dada wa kazi za ndani familia ya watu watatu, baba mama na mtoto wa miaka 4 mshahara 70k. Nipo Kimara Dar. Nipigie 0626097783.
Back
Top Bottom