Recent content by Cosmas111

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Kuna eneo la makazi na eneo la masha eneo la makazi ndio huitwa mji na mashamba hayaundi mji hivyo mji wa ilala ni mkubwa kuliko makambako namaanisha eneo la makazi linamrundikano wa nyumba nyingi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Ninaposema makazi namaanisha eneo la mji wa makambako sio mpaka huko kwenye mashamba ya viazi na parchichi eneo linalounda mji wa makambako sio halmashauri ya makambako yaani sehemu ya makazi sio mashamba ukiambiwa onesha mji wa makambako utaonesha majumba sio mashamba
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Okay
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Makambako sio kubwa kushinda tunduma kwani kuna miji mikubwa kwa idadi ya watu na miji mikubwa kwa makazi vyote hivyo tunduma iko juu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Hao matajiri wanaishi makete au dar ? Sasa kama wanaishi dar wanainufaisha vipi makete si bora wangeishi makete maduka yao yakawa makete
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Acha kudanganya kahama Kijiji gani kunanyumba nzuri nyumba ziko mjini tu na kwa mazingira yenye mvuto na muonekano wa mji bukoba kuilinganisha na kahama ni kuikosea adabu bukoba linganisha na moshi pamoja na iringa kahama uzuri wake ni mzunguko wa fedha ila sio kwa muonekano wa mji
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Makambako haiundi wilaya ya njombe inawilaya yake inaitwa ludewa ila inaunda mkoa wa njombe wilaya ya njombe inaundwa na njombe mji na njombe vijijini
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Du! Kweli raha jipe mwenyewe njombe lini imekuwa munispal council hivi ukiwa kwenye proposal tayari inajipa hadhi maana hata kibaha wako kwenye proposal tangu 2017
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa ungewekeza wapi -Dodoma, Katoro au Kahama?

    Mbona njombe siwaoni
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Kagera imeingiaje tena hapo ilihali miaka ya nyuma walifanikiwa kudhibiti
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyopo mji wa Ifakara, Serikali iiangalie sana

    Kwani ifakara kuna biashara gani kuu maana huo mpunga hata kahama upo ukisikia mchele wa shinyanga ujue ndio huo wa kahama ila hawajawahi kiuinuliwa na huo mpunga wana mambo mengi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Billion ngapi kwa mwaka!?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Kwaahio chato na na biharamulo haziwezi kupata umeme vijijini kama Kilimanjaro mpaka ziwe mkoa au hio geita ilivyokuwa mkoa ndio imepata umeme maji na huduma zote vijijini
Back
Top Bottom