Recent content by Cosmas Mashauri

  1. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalamu wa kujitolea kuandika business proposal

    Boss hujasema uko wapi?? Nipo hapa cosmilcosmas@gmail.com Njoo tuyajenge
  2. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Mkuu hautakiwi kujibu hivi, you're making discourage kwa mtu ambaye anafatilia lesson yako. Unachotakiwa either umDirect ambako anaweza kupata msaada ama iwe homework yako kujifunza kama hujui. Mbona umeanza Uzi fresh halafu unataka kupuyanga tena
  3. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Nenda play store kama una tumia Android, tafuta MetaTrader 4 au metaTrader 5 uDownload
  4. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nauza kitanda na godoro lake Arusha. Kitanda 5*6 =160,000 tu Godoro inches 6 = 120,000 Pia kuna meza, gas na vyombo!! Mwenye uhitaji anicheki +255759961012 tuyajenge
  5. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu hongera sana kwa kuwa na uzoefu wa muda katika shughuli hii inayowakimbiza wengi, Lakini usijali sana kuhusu kuyumba, kuteleza so kuanguka siku zote, piga mahesabu mawili matatu, vuta nanga amsha tena (kwenye maisha kuna kupanda na kushuka). Mimi niko very interested na project za Kilimo...
  6. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    +255759961012, naombeni kuunganishwa kwenye group la WhatsApps ...... Very interested na kuchukua risk (Usiniulize kwa nini).
  7. Cosmas Mashauri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kilimo cha maharage machanga Arusha?

    Pole Sana mkuu, naona hukuweza kupata response kwa muda. Japo nataka nijitose na Mimi kwenye hii mishe, ninachokijua mpaka sasa kuhusu masoko ya maharage machanga ni baadhi ya kampuni kuingia mkataba na wakulima, ambapo mkulima hulipwa wiki mbili baada ya kuuza mzigo wake. Sijaweza kuwa na...
Back
Top Bottom