Wakuu,
katika udadisi wangu mdogo nimegundua kuwa pamoja na watumishi wengi wa Serikali kutotaka kuhamia Dodoma, lakini wapo Viongozi wao wanaofikia hatua za kutunga/kuunda vikwazo na kujenga hoja kuwa kutokana na u-special wao, waendelee kukakaa Dar.
Naamini tunajua baadhi ya taasisi hizi na...
nyie wenye mentality za kutawaliwa mnadhani wazungu ndio mabwana zenu. Hakuna umaskini mkubwa kama wa kutawaliwa akili kama wewena wenzako. Hata kama ni wazungu wasipoendana na taratibu za waTZ (villagers) waondolewe tu. Hongera Serikali
Kasi ya kitu kinachoitwa utumbuaji majipu unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano imesababisha kushabikiwa na pengine kupondwa kwa jinsi utumbuaji huo unavyofanyika. Sina wasiwasi kuwa nia na Rais ni nzuri hasa kurejesha uwajibikaji na uadilifu ambao ulishapungua sana katika utumishi wa umma...
Nyie watu mnashangaza sana, Hivi sifa ya kuwa Rais ni kujiandaa au kufaa?
Halafu mnashindwa hata kurecall kauli za Baba wa taifa, hata yeye aliona urais ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watu waaminifu, na aliwahi kusema "watu waaminifu hawakimbilii ikulu .... ukiona mtu anakimbilia na fedha...
Ni ujinga au anataka kulaghai Watanzania? Juzi kati hapa Mheshimiwa huyu alidai kuwa kwa sasa hakuna Rais, Magufuli si Rais, na hawatakubali ahutubie bunge kwa kuwa hana uhalali.
Harakaharaka, ukifikiria ni kwamba Bunge la kwanza huitwa na Rais, ndipo watamchagua Spika na kuapishwa. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.