Samahani kwa hapa dar, xiaomi zinapatikana duka gani? Nilishawahi kuagiza moja ila kwa sasa sina accessibility hiyo naona ninunue hapa hapa mjini kama naweza kuzipata. Msaada kama unajua mkuu. [emoji120]
Xiaomi all the way....hiyo ndo iphone ya China! Ndo maana hata huku kwetu wachina wamechelewa sana kutuletea. Ni very high end smartphones!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kwa mwenye uhitaji wa huduma hii, huyu bwana ni muaminifu sana na zaidi ya yote anatoa feedback papo kwa papo. nimefanya nae biashara kama mara tatu hivi nilikuwa nahitaji kununua simu (XIAOMI) ambayo huku kwetu sikufanikiwa kuipata madukani. namshukuru sana bila shaka ananikumbuka maana...
Kama kichwa kinavyojieleza ndugu wana JF, kwa mwenye taarifa zozote, mmiliki au dalali wa nyumba maeneo ya upanga hapa dar es salaam natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa. Naomba anicheki PM ili tuwasiliane zaidi. Asanteni
N.B nyumba ya kawaida tu sio zile za kitalii (Dollars)! :D;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.