Recent content by Copy1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

    Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
  2. C

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga ashinda kesi dhidi ya UDOM, kurudi chuo Rasmi

    Mwakibinga bado anasomaga tu Undergraduate dah!! Wenzake wapo makzani mwaka wa 3 huu
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

    A very well balanced story ,I have read many articles on this Dangote issue till now but i haven't seen one which is balanced as this
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Kufungwa kwa kiwanda cha Dangote hakutaathiri upatikanaji wa sementi nchini

    Inaitwa the power of 10%
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Eric Omondi

    Hakuna alichokosea Wakati Yesu anasurubiwa ,alisitundikwa na wezi wawili mmoja alie samehewa na mmoja ambaye hakusehewa dhambi zake Its obviously kuwa Eric alikuwa ana refer kwa yule alie tubu pale msalaban mbele ya Yesu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mbona Diamond hajapost show ya uwanjani ya Mayote?

    Kapost wapi??
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mbona Diamond hajapost show ya uwanjani ya Mayote?

    Nipo Dar, na when in Rome do as the romans do! Act as Mwanaume wa Dar et mbona jamaa hajapost picha za show aliyosema atafanya uwanjani Mayote? picha zilizzopo ni za show ya VIP tu ambazo hata hivyo inasemekana watu walikuwa wachache Je ni kweli kuwa hii show ya uwanjani ilibuma ndo maana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Kitu ambacho si kibaya kwa Clouds kuwa ma think tank hasa ukizingatia kuwa , Mkuu wa mkoa anafanya kazi yake, Mwananchi anatatuliwa shida yake na Clouds wananufaika kivyao Hii ndo Public -Private Partnership in service delivery au PPP
  9. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Watu bwana sasa kama Mkuu wa mkoa ana bajeti ya mafuta Clouds wakaona fursa ya kusponser event yake kwa kumpa airtime na kucover gharama Ndogo Ndogo huku wao wakijua wanapata nini kuna shida gan? Mlitaka asubiri TV ya umma wakati TV binafsi ndo imempelekea wazo la kumpa airtime free?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Hakuna siku niliona TBC ni wapuuzi kama Siku ya mwanamke duniani Kuelekea siku hiyo clouds walikuja na kauli mbiu yao ya malkia wa nguvu, wakainad ikanadika na kuonekana kuwa ndo kauli mbiu ya taifa Siku ya siku wakafanya event yao ,wamealika akina mama na wanawake most powerful hapa TZ, na...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    TBC walishindwa kujua Bosi wao ni nani Bosi wao alikuwa ni mtazamaji ,ambaye pia ni mlipa kodi wao kwa kuwa hawakujali yeye anataka kuona nini wakabweteka ,wakajaza vipindi visivyo na maana ,wakawa hawna watazamaji ,Imagine Taarifa ya habari ya ITV na Channel 10 zina nguvu kuliko ya TBC...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Wewe ndo haujaread btn lines Aliandika kuwa ni kampen za Mwaka 2010
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge anapokuwa mvunja sheria: Mch. Peter Msigwa na ajira za watoto

    Kaka hapa kachemka
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kanye West amchana live Jay Z, Beyonce na kasema yuko na Trump!

    Sidhan kama anaweza kupika kitu kama Dark Fantasy tena
  15. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako apiga marufuku uvaaji wa Majoho kwa wahitimu ngazi za chini

    Ni aibu kuwa na waziri wa elimu anaedhan joho ndo litafanya mtu ajitume kusoma Unasomea joho? Ideally ilikuwa tusomee kuongeza maarifa, tukaanza kusoma ili tupate kazi, huku wengine wakisoma ili kupata sifa sasa naona wazir ametufungulia kile kilichomfamnya yeye asome kwa bidii "et avae joho"
Back
Top Bottom